Pages

Subscribe:

Wednesday 28 January 2015

MWANAUME MWENYE ‘HIPS’ NA SHEPU LA KIDADA......!!!!


  anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua nafasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na umbo lake
kuwashangaza wengi. 












Kijana huyo akiwa katika mapozi mbalimbali.

MICAH ni mwanaume lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke baadhi ya wadada huzitamani kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa daktari.

Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua headlines kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi.

Hivi ni vipimo vya mwili wake:
Kifua: 41.5″ Kiuno: 37″ butt/hips: 63

0 comments:

Post a Comment