Pages

Subscribe:

Thursday 29 January 2015

DEMU APIGWA MADOLE MBELE ZA WATU WAKIWA KLABU


Haya ndo maamuzi magumu ya Rapper Lil Wayne juu ya kundi la YMCMB


New Orleans rapper Lil Wayne sits with Birdman during the New Orleans Hornets NBA basketball game against the Miami Heat in New Orleans

Taarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Prof. Lipumba na wafuasi wake


Lipumba Under Arrest

JAMAA ALALAMA KUPANGIWA RATIBA YA KU-SEX NA WIFE WAKE!!..WIFE ALONGA NII CHANZO!!


LAANA...!!! ANGALIA JINSI MWANAFUNZI WA SEKONDARI ALIVYO VAA..SOMA ZAIDI HUENDA NI NDUGUYO UJUE!


JIONEE JINSI WATOTO WA KIKE WANAVYOFANYA KUFURU WAKIWA CLUB USIKU!!! FULL SHANGA NJE NJE MDAUU

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4b0swX4_4yL1dsuD-6l58GTdgGcfhrKPc_I_Z0eKqdictHAyWNnmiEiNisHsyP8Zz6Y-pLTJfZO3jD5GF-PVEUq6Sf3hTSxlG5TVxi9UvUxnby-dNfOnTeh9IcKB5SnhzqNOJ2Uu0As7A/s1600/UTUPU712.jpg

HUU NDO UPUUZI UNAOFANYWA NA MABINTI WA CHUO!! NI KUKAAA NUSU UCHI UCHI!!


HAYA NDO MAJANGA NYUMBA ZA KUPANGA USWAHILINI!!...FULL VICHUUPIIII


BINTI ALAZIMISHA KUFANYA MAPENZI NA WATOTO


UHUSIANO WA JOKATE NA MILLARD AYO WAZUA GUMZO!!


WASANII WAFUMWA WAKIDENDEKA LIVE PARTY YA AMANDA !!!


SIYO LAZIMA UANZE KUFANIKIWA WEWE, TIA MOYO WENGINE!



BABY MADAHA AOTA AKIFANYA MAPENZI NA RONALDO!!


Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha.

WANASWA WAKIFANYA MAPENZI KITUO CHA POLISI


Wednesday 28 January 2015

SHEMEJI AMTAKA MDOGO MTU


shemeji

HII HAPA TAARIFA KUHUSU MKANDA WA MCHAFU WA DEMU MPYWA WA DIAMOND ZARI THE BOSS LADY


KWA MAKALIO HAYAA!! DAAAAH SOMA UONE UTAMU WAKE


HII NDO DAWA YA KUTENDWA?



HUYU NDIYE MWANAUME MWENYE ‘HIPS’ NA SHEPU LA KI-SISTER DUU......!!!!

MWANAUME MWENYE ‘HIPS’ NA SHEPU LA KIDADA......!!!!

HIZI NDO PICHA KALI ZA KIMAHABA KUTOKA INSTAGRAM


SIMULIZI YA BINTI BIKIRA


JAMAA AOMBA USHAURI ILI KUACHANA NA TABIA YA KUPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA!!

UNAMWONAJE HUYU DANCER?!


UTAMU UTAMU

Tuesday 27 January 2015

WASANII WA BONGO MOVIE WAENDELEA KUTIA AIBU KWA MAVAZI YAO


http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xpa1/1742390_844336258911674_694040762_n.jpg

MISS COLOMBIA PAULINA VEGA ATWAA TAJI LA MISS UNIVERSE 2015, UMATI WAZOMEA

JINSI YA KUMFAHAMU MWANAMKE ANAYEDANGANYA KUWA AMEFIKA KILELENI WAKATI WA GAME!! SOMA ZAIDI...


HIZI NDO PICHA MPYA ZA KIMAHABA ZA MAUNDA ZORRO!! NI NOOOOMAAAA!!!


Maunda Zorro Kwenye Pozi la Kimitego

HUYU NDO MKUU WA SHULE ANAYEWATEGA WANAUME OFSINI KWAKE!! MCHEKI HAPA NA SHULE ANANYOFUNDISHAA!!


HAYA NDO MAKOSA YANAYOWAGHARIMU WANAWAKE KATIKA MAHUSIANO!!!


CHANZO CHA BIFU LA ALI KIBA NA DIAMOND HIKI HAPA!!...Soma zaidi upate undani


ALI KIBA AMFUNIKA DIAMOND!!!, UCHAWI WATAWALA JUKWAANI!!


HII NDIO SABABU YA OMMY DIMPOZ, IDRIS KUWALIZA WALIMU WAO



Wednesday 21 January 2015

VIKONGWE WAMWAGIANA MABUSU KWAUPEE!



HII NDO SABABU YA ZITTO KUMWAGA MACHOZI UKUMBINI


HII NDO AINA YA USALITI USIOVUMILIKA!!

Ni matumaini yangu kwamba una shauku kubwa ya kujua nini nimekuandalia kwa leo. Ni yaleyale kuhusu maisha yetu ya kimapenzi na leo nataka kuzungumzia usaliti katika sura ya tofauti.Nimefikia uamuzi wa kuandika juu ya hili kutokana na ushuhuda nilioupata kutoka kwa mmoja wa wasomaji wangu aliyejitambulisha kwa jina la Ashura mkazi wa Arusha.

Ni ushuhuda wa kusikitisha sana lakini una funzo ndani yake kwa wanandoa na wapenzi wa kawaida.
 Anasemaje? Hebu msikie kwanza kisha tuendelee; “Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana na hajawahi kunisaliti. Tulioana miaka mitatu iliyopita na sasa nina ujauzito wa miezi nane.
“Mume wangu anafanya kazi na mimi pia nafanya kazi lakini kipato changu ni kikubwa kumzidi mume wangu.
“Kutokana na hali hiyo, mimi nilinunua gari ambalo mume wangu amekuwa akilitumia muda mwingi. Huwa ananipeleka kazini kisha yeye anaenda kwenye mihangaiko yake, jioni ananifuata. “Tunaishi na mdogo wangu wa kike ambaye anasoma chuo ila alionesha ukaribu sana kwa mume wangu, utani ulikuwa mwingi hadi kuna kipindi nikahisi kuna kitu nyuma ya pazia.
“Siku moja baada ya mume wangu kunipeleka kazini, tulimuacha nyumbani yule mdogo wangu, ilikuwa aende chuo lakini nikashangaa siku hiyo akasema hataenda. “Machale yakanicheza! Baada ya mume wangu kunifikisha kazini na kuondoka, nikakaa kama nusu saa hivi kisha nikachukua Bajaj na kurudi nyumbani.
“Huwezi kuamini nilimkuta mdogo wangu akifanya mapenzi na mume wangu juu ya kitanda changu. Nilipata presha na kuanguka, nilipozinduka nilijikuta nikiwa hospitalini.“Mpaka sasa niko kwa wazazi wangu na nakaribia kujifungua. Hivi kwa usaliti huu naweza kumsamehe mume wangu na tukaishi kwa amani?”
Huo ni ushuhuda wa Ashura ambaye mwisho wa siku aliomba nimshauri. Ingekuwa wewe ungemshaurije? Je, ungemshauri arudi kwa mumewe au ungemtaka aombe talaka?
Najua kwa vyovyote ungekuwa na la kumshauri lakini mimi ninavyoona kwa hili ni lazima uwe njia panda. Yaani mdogo wako umkute kamvulia nguo mumeo na wanafanya uzinzi juu ya kitanda chako! Ukisikia watu wanaua ni katika mazingira haya.
Hata hivyo, kabla sijamshauri Ashura nikuulize wewe msomaji wangu, je, upo usaliti ambao unaweza kusema huu unavumilika na huu hauvumiliki? Kimsingi watu tunatofautiana jinsi tunavyopokea yale yanayotupata.
Wapo ambao wamewafumania wanandoa wenzao mara kibao lakini mpaka leo bado wanaishi pamoja na wanasimamia ule msemo usemao; ‘Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo’.Lakini wakati hao wakiwa na mioyo hiyo, kuna ambao wameachana baada ya mmoja kukuta tu sms tata kwenye simu ya mwenza wake.

Kwa hili la Ashura iko hivi, hakuna usaliti usiouma, uwe ni mdogo au mkubwa. Usaliti aliofanyiwa Ashura ni mkubwa sana, huwezi kumshauri kirahisi tu kwamba amsamehe mume wake na arudi kwake.Lakini pia huwezi kumshauri kwamba kwa kuwa ni usaliti mkubwa basi asimsamehe na aombe talaka.
Ushauri wote unaweza kuwa sawa lakini pia unaweza usiwe sawa. Kutokana na mazingira, kwamba Ashura ni mjamzito na mume wake hajawahi kumsaliti, kuna kila sababu ya kusamehe.Kama mume ameomba msamaha na kuahidi kubadilika, kumgomea itakuwa ni vigumu.
Lakini naomba niseme kwamba, kwenye suala la usaliti ni vyema tukazungumza na mioyo yetu. Ukijaribu kufuatilia utabaini hakuna ambaye hajawahi kusalitiwa na mpenzi wake. Tunachokifanya huwa ni kusamehe na kusahau hasa tukichukulia kwamba, wote tuna mapungufu. Ni kweli kuna usaliti usiovumilika, kwa mfano kama amekuwa akikusaliti kila wakati, huyo ifike wakati useme imetosha.
Lakini kama unampenda na kwa bahati mbaya akawa amekusaliti kwa mara ya kwanza, ni vyema ukampa nafasi nyingine bila kujali watu watasemaje. Kwa maana hiyo licha ya kwamba usaliti si mzuri lakini usichukue uamuzi wa kumuacha mwenza wako au mpenzi wako kwa sababu ya usaliti wa mara ya kwanza, ukifanya hivyo ipo siku utajuta.

HUYU NDIYE BINTI ALIYESALI FREE MASON BILA NGUO, AELEZA SIRI ZAO WAZIWAZI!!


TATIZO LA NYAMA KUJITOKEZA NJIA YA HAJA KUBWA {HEMORRHOID}



KITUO CHA POLISI IKWIRIRI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI, ASKARI WAWILI WAUWAWA



Mfano wa bunduki aina ya SMG zilizoibiwa.

Makamba: Enzi za ushindi wa kishindo CCM zimepita

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, January Makamba kwenye Ukumbi wa Kizota Dodoma ulipofanyika mkutano mkuu wa chama hicho mwaka 2012

Marais watano kushuhudia amani Sudan Kusini



Marais watano wa nchi za Afrika, leo watashuhudia utiaji saini wa mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini, yatakayofanyika kwenye Hoteli ya Ngurdoto wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Marais hao ni Jacob Zuma (Afrika Kusini), Yoweri Museveni (Uganda), Uhuru Kenyatta (Kenya), Salva Kiir (Sudan Kusini), mwenyeji wao Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn Boshe.

Mapya yaibuka kuapishwa kwa mwenyekiti wa Segerea-Migombani


Wakili wa Kujitegeme, Iddi Msawanga(kulia) akimuapisha Japhet Kembo  (aliyenyanyua mkono) kuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Migombani, katika hafla iliyofanyika nje ya ofisi za mwenyekiti wa mtaa huo,  Segerea Mwisho Dar es Salaam . Japhet aligombea nafasi hiyo kupitia chama cha Chadema

Anna Abdallah ataka vigogo wapigwe rungu

Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Wabunge wa CCM, Anna Abdallah.PICHA|MAKTABA

Kauli ya Mwakyembe yaamsha wadau


Shirika la Ndege la Flight Link la Dar es Salaam limesema litaanza kutoa huduma ya usafiri wa anga kati ya Dar es Salaam na Iringa muda wowote kuanzia sasa.
Uamuzi wa Flight Link kuanzisha huduma hiyo, umekuja siku chache baada ya Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kufanya ziara mkoani hapa na kushawishi wadau wa usafiri wa anga kutoa huduma mkoani hapo.

mwanzo Kolamu Kolamu Fidel Castro; mtoto wa ‘housegirl’ aliyekabili vigingi vingi kwenda Ikulu- 2


Wiki iliyopita tuliona Fidel Castro alikwama kwenye ndoto yake ya kugombea ubunge baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyoongozwa na Generali Fulgencio Batista na kuvuruga demokrasia.
Castro hakukubaliana na mapinduzi hayo na alikuwa miongoni mwa walioupinga utawala wa Batista na mara kadhaaa alijaribu kutumia sheria pasipo mafanikio.

Monday 19 January 2015

Wahoji utekelezaji wa ahadi ya Rais Kikwete



Wadau wa maendeleo mkoani Iringa, wameitaka Serikali itekeleza ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kutengeneza Barabara ya Iringa-Msembe (Hifadhi ya Taifa ya Ruaha) yenye urefu wa kilomita 114 kwa kiwango cha lami ikiwa ni jitihada za kukuza uchumi wa mikoa ya Kusini.
Walitoa ombi hilo jana kwenye kikao cha Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Iringa kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Siasa ni Kilimo, Manispaa ya Iringa.

Jaji Warioba adai kuwa Rais ajaye anafahamika wapinzani wasijisumbue!!.....Soma zaidi




Jaji Warioba 

Wahoji utekelezaji wa ahadi ya Rais Kikwete

Wadau wa maendeleo mkoani Iringa, wameitaka Serikali itekeleza ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kutengeneza Barabara ya Iringa-Msembe (Hifadhi ya Taifa ya Ruaha) yenye urefu wa kilomita 114 kwa kiwango cha lami ikiwa ni jitihada za kukuza uchumi wa mikoa ya Kusini.
Walitoa ombi hilo jana kwenye kikao cha Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Iringa kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Siasa ni Kilimo, Manispaa ya Iringa.

Wanafunzi 150 Duce wapata mimba


Wanafunzi 150 kati ya 1,000 waliojiunga na masomo katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (Duce) mwaka jana wamebainika kuwa na ujauzito waliopewa na wenzao chuoni hapo.
Utafiti wa usawa na jinsia uliofanywa na chuo hicho kati ya Juni na Novemba mwaka jana umebaini kuwa wanafunzi wanaopata ujauzito ni wale wa mwaka wa kwanza.

‘Chuo kikuu ni fursa ya kuondoa ujinga, siyo kutafuta kazi’


Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada


Mali za Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba

Huu ndio unyama alioufanya mama kwa mtoto wake ndani ya saa 24 baada ya kujifungua


new j

Umefahamu kilichoandikwa kwenye Magazeti ya leo January 20, 2015? Kurasa za mbele, nyuma ziko hapa


.

.

Mwigulu Nchemba kuhusu Urais, Escrow, kiongozi wa Upinzani anayemvutia yote yako hapa


Nchemba III

MFANYABIASHARA AUAWA KWA RISASI GETINI