Pages

Subscribe:

Friday 23 January 2015

HII NDIO STYLE INAYOWACHOSHA ZAIDI WANAWAKE!!

eight: normal; line-height: 1.4em; margin: 0px 0px 0.75em; padding-top: 6px; text-align: justify;"> Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.


Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume
Wanasayansi hao wanasema:

Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwani madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.

“…Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari.

0 comments:

Post a Comment