Pages

Subscribe:

Thursday 29 January 2015

Haya ndo maamuzi magumu ya Rapper Lil Wayne juu ya kundi la YMCMB


New Orleans rapper Lil Wayne sits with Birdman during the New Orleans Hornets NBA basketball game against the Miami Heat in New Orleans


Ishu ya mgogoro wa rapper Lil Wayne na YMCMB sasa umefikia mbali na time hii jamaa amefungua mashtaka alipwe dola za Marekani milioni 51 na msanii mwenzake Birdman.
Lil Wayne amemtaka jaji kuvunja mkataba wa lebel yao kwa kuwa hawajamlipa fedha zake ili awe huru kufanya mambo yake baada ya kundi hilo kushindwa kufanikisha Wayne kuachia album yake ya Tha Carter V.
Mwanzoni
mwa wiki hii Lily Wayne alinukuliwa akisema baada ya Cash Money kushindwa kumlipa pesa zake, ataondoka ndani ya kundi pamoja na wasanii Nick Minaj pamoja na Drake.

0 comments:

Post a Comment