Pages

Subscribe:

Monday 21 July 2014

BRAZIL 2014: Rekodi nyingi zavunjwa




TAARIFA ZA UNDANI ZILIZODHIBITISHWA NA SERIKALI YA MAREKANI JUU YA KIFO CHA ALIYEKUWA GAVANA MKUU WA TANZANIA!!

Ballali alilazwa katika hospitali mbili tofauti kabla ya kufariki dunia.
Neville Meena, Mwananchi
Taarifa za Idara za Serikali ya Marekani zinathibitisha kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali alifariki dunia akiwa Washington DC, akiwa na umri wa miaka 66.
Gazeti hili lilianza kufanya uchunguzi kuhusu ukweli wa kifo cha Ballali miaka miwili iliyopita, kutoka na kuwapo kwa mkanganyiko na sintofahamu kuhusu kifo hicho, vilivyosababishwa na jinsi alivyoondoka nchini Agosti 2007, kuugua kwake, mazingira ya kifo na hata usiri uliotawala mazishi yake.

Mikato ya nywele ya ajabu Kombe la Dunia 2014


MMOJA AFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA AJALINI TARIME LEO


Dereva wa basi la Zakaria Express, Mbaraka Shamsi (35) mkazi wa Magu akiwa hospitali baada ya ajali.
Roberty Nashoni (48) ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Sokoni, Sirari-Tarime akitibiwa majeraha katika Hospitali ya Tarime kabla ya kupelekwa Hospitali ya Musoma.
Bi. Bhoke Roberty (28) ambaye ni mke wa Roberty Nashoni wa Sirari, Tarime akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa kutibiwa Hospitali ya Musoma.
MTU mmoja, Fatuma Juma Kitumbo (35), amefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali mbaya ya basi la Zakaria Express lenye namba za usajili T 405 CLT lilipoanguka katika eneo la Sen'gensa Kijiji cha Remagwe, Kata ya Nyamaraga, Wilaya ya Tarime mkoani Mara leo.

Marehemu huyo ambaye ni mtoto wa dada yake mpiga picha wa ITV Musoma, Ahmad Kitumbo, alikuwa akitokea nchini Kenya akielekea jijini Mwanza. Imeelezwa kuwa sababu ya kifo chake ni kutokwa na damu nyingi kutokana na ajali hiyo mbaya.
Ajali hiyo ambayo imethibitishwa na Jeshi la Tarime na Rorya na Kamanda wake Razalo Mambosasa, ilitokea kati ya saa 2.00 hadi 3.00 asubuhi.

Ilidaiwa kuwa chanzo chake ni dereva wa basi hilo kumkwepa binti mmoja aliyekuwa na ngo'mbe wa kukokotwa na jembe na lori lililokuwa barabarani, ndipo basi hilo likaanguka na kusababisha maafa hayo.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Halmashauri ya mji wa Tarime, Roberty Onesmo alithibitisha kutokea kwa kifo hicho na aliwataja majeruhi waliopokelewa hospitalini hapo kwa matibabu kuwa ni dereva wa basi hilo Mbaraka Shamsi (35) aliyeumia kifua, Roberty Nashoni (28) aliyeumia kichwani na mkewe Bhoke Roberty Nashoni (28), aliyeumia kifuani na kichwani, Selfina Abuo (44), Lucy Ngure (22).
Hata hivyo, alisema Bwana Nashoni na mkewe wana hali mbaya na wamepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Musoma kuchunguzwa na kwa matibabu zaidi.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilayani hapa, Amos Sagara Nyabikwi aliwatembelea majeruhi wa ajali hiyo katika hospitali hiyo na alifanikisha kuwasafirisha majeruhi hao kupelekwa Hospitali ya Musoma

TAARIFA JUU YA WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN KUFIKISHWA KORTINI KWA KUFANYA VURUGU

Hii ni safari ya kwenda kusomewa mashitaka yao.

Baada ya kauli ya Ally Kiba huu ni ujumbe kutoka kwa Diamond.


diamond

Habari mbaya: Juliana Kanyomozi ampoteza mtoto wake wa kiume.

Kanyomozi

Jinsi mwanamke alivyojipatia mamilioni kutokana na uvutaji sigara wa mumewe.

sigarr

Picha za mastaa walivyoungana na Chris Brown kwenye mechi ya kujitolea.

5 2

WAUMINI WA KANISA DAR WAPIGANA KANISANI! SOMA ZAIDI KUJUA KISA KAMILI..


church

MADAI YA HEMED PHD KUMDHURUMU MSANII MWENZAKE WA KIKE MAVAZI YAKE


hmd

STEVEN GERRARD ASITAAFU KUCHEZEA TIMU YA TAIFA


gerrad

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 NKONE, MWAIPAJA, MWASONGWE KUACHA HISTORIA TAIFA


Mkali wa muziki wa Injili, Upendo Nkone.

MFAHAMU SERENGETI BOYI WA KAJALA!! PICHA NA HISTORIA YAKE YITE IKO HAPA!!


MASOGANGE KATIKA POZI ZA KIMAHABA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUOIyA2hyG-_QzAlp3wHotIqn4C-0yNyey_tbIRARo2GEeEXjhXn1VeVl1Hi-zAg5v6b-pSOkWNYAG1abjOCSx621TIQfWUesvwvO2jyJS-RBPSHOyns3vwyM8awNdZ5VKLe8ki71vVU0c/s1600/MASOGANGE45.PNG

UMHIMU WA MAPENZI NA TENDO LA NDOA KATIKA KULETA UFANISI WA KAZI

JAJA ASAINI MIAKA 2 YANGA


Jaja akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa Young Africans, Bw. Beno Njovu leo mara baada ya kusaini kuitumikia kwa miaka miwili.

MAMBO YA KUZINGATIA KWA MWANAMKE KUZUIA MICHEPUKO NDANI YA NYUMBA

MAKALIO MADOGO YANAVYOWATESA WANAWAKE WENGI KWA SASA!!!

Friday 18 July 2014

MZEE KIJANA ACHEZEA KICHAPO KWA KOSA LA KULAWITI MADENTI


HAYA NDO MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANI KWA MTOTO WA KIKE!!!

WAREMBO WACHAPWA BAKORA



AUNTY ATAFUTA WA KUMZALISHA


MREMBO AAMUA KUWEKA PICHA ZA NUSU UCHI MTANDAONI KUWAVUTIA WANAUME WENYE UCHU NA NGONO!! PICHA ZOTE HAPA!!

moyesa

SIFA 15 ZA MWANAUME ZINAZOMFANYA APENDWE NA WANAWAKE!!


DIAMOND KULAANIWA NA BABA YAKE KWA KUMTELEKEZA AKIWA ANAUMWA NA KUTANUA NA KUJIVINJARI NA MPENZI WAKE WEMA


HIZI NDIZO NJIA ZA KUMPATA MPENZI WA KWELI!!


HAYA NDO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI!!!

UONGO ULIOPO KATIKA MAHUSIANO YA MWANAUME NA MWANAMKE KABLA YA NDOA

HIZI NDIZO NJIA ZA KUEPUKANA NA UDOMO ZEGE NA KUTONGOZA WASICHANA BILA UOGA!!