
Siku ya Kusherehekea sikukuu ya Pasaka Ilikuwa ni siku ya Kihistoria Mjini Hapa Kwa kuwepo kwa Show ya Kundi la Kutoa Burudani Lijulikanalo kama Kanga Moko...Hakika hawa wadada wameamua Kutafuta Pesa Kwa njia ambayo wao wameona inawafaa, laki
ni Je ni Sahihi kwa kufuata maadili ya tamaduni zetu kufanya Haya?
0 comments:
Post a Comment