JAMAA AOMBA USHAURI ILI KUACHANA NA TABIA YA KUPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA!!
Mwenzenu
karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa
nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network, yaani inafikia mahali hata
kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda mwanamke aliyejaliwa
maeneo ya nyumba basi nihakikisha nashuka kituo atakachoshuka hata kama
nikupitiliza napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe maneno mawili matatu
huyo mwanamke .
Hii
Tabia imenifanya nipoteza muda na mambo mengi ya msingi katika maisha
yangu , moja kubwa nakumbuka mwaka jana niliitwa kwenye interview
shiriki moja maeno ya Kijitonyama sayansi, nikiwa kwenye daladala
kutokea mwenge kwenda posta nilijikuta nimefika posta kwa kumfuata mdada
mmoja, baada ya hapo nikajikuta nimechelewa hiyo Interview na mbaya
zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea na mimi baada ya kushuka kwenye
dalala. Waungwana Naombeni ushauri nifanye nini niache hichi kitabia?
0 comments:
Post a Comment