Wanafunzi
wakijipiga picha Bafuni Hostel Kwakweli maisha ya chuoni ni experience
tosha, kuna kila aina ya mambo mi naamini kama umepitia
maisha ya chuo, umeshakaa hostel
maisha ya chuo, umeshakaa hostel
basi utakuwa
umejifunza mengi sana, na hakuna jipya baada ya hapo. Wapo watu
wanaokuja chuoni wakiwa wapole na watiifu, lakini wape muda tu kidogo
utaona mara tayari ana boyfriend mara tayari nae ameshaanza kwenda
club.
Mambo ni mengi
sana Vyuoni,
kama mpenzi wako ameenda chuoni ujue kuna kazi hapo ndugu yangu muombee
tu MUNGU amlinde, vishawishi ni vingi na kuepukika ni ngumu sana
inahitaji ujasiri mno. YABIDI KUWA MAKINI TU
0 comments:
Post a Comment