Pages

Subscribe:

Wednesday 16 July 2014

YOUNG KILLER ATOA SABABU ZA KUMPA KIPIGO MPENZI WAKE ALIYEGEUZA NOTI KUWA SHUKA




Uhusiano wa kimapenzi kati ya Rapa Young Killer na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina la Halimaty umesemwa kuwa na dosari baada ya Young killer kusemekana kumpiga msichana huyo.

Inavyosemekana majirani wa Young killer walimwambia Shettah kuwa akae na Young Killer ili amfahamishe mwenzake tabia ya kumpiga msichana sio nzuri,sikiliza maongezi haya yalikuwa baina ya Young Killer,Shettah na Soud Brown.
Hapo nyuma mara kazaa mrembo wa young amekuwa akitupia picha tata mtandaoni kudhihirisha mapenzi yao ni motomoto...

0 comments:

Post a Comment