
Waumini wa kanisa moja hapa Dar es salaam wamemaua kusitisha ibada baada ya kutokea ugomvi ambao umesababishwa na kutokuwepo kwa maelewano ambapo walijigawana kimatabaka ya kuamua kila upande kuwa na mchungaji wao.
Hali imekua tofauti baada ya kusali nje kwa muda wa zaidi ya miezi miwili na sasa wameamua kurudi kusali kanisani upande wa juu na ndipo ilipotokea vurugu.
0 comments:
Post a Comment