
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Cotton USA wapenzi wengi waliodai
kulala utupu wamedai kuwa hiyo ni sababu moja wapo ya uhusiano wenye furaha. Asilimia 57 ya wale wanaolala bila nguo walidai kuwa na furaha kwenye mahusiano yao, ukilinganisha na asilimia 48 wanaolala na nguo za ndani, asilimia 43 wanaolala na nguo za kulalia.
0 comments:
Post a Comment