MREMBO APOTEZA FAHAMU BAADA YA KUPIGA POMBE NYINGI KUPITA KIASI
Alidai
anakunywa moja tu kupunguza mawazo kwani aliyemwahidi kumchumbia
kaingia mitini lakini kadri muda ulivyokuwa unayoyoma alikua anaongeza
kilaji tu mpaka pale akawa ajitambua kilichofata baada ya hapo
........mpaka asubuhi.
0 comments:
Post a Comment