Pages

Subscribe:

Wednesday 16 July 2014

Hatari sanaa: Uswahilini kuna mambo,sikiliza huyu aliyefatwa kusutwa na matarumbeta


hekaaa


Kuna baadhi ya vitu ukisikia unaweza kucheka lakini ndiyo maisha yanayotokea mtaani hasa uswahilini,unaambiwa hawa wamejikusanya wamevaa na sare kabisa kwa ajili ya kwenda kumsuta mtu mmoja.
Kama haitoshi inshu ni kwamba wamekodi hadi matarumbeta wamewalipa kwa ajili ya kwenda kumsuta tu mtu mmoja.

0 comments:

Post a Comment