Pages

Subscribe:

Wednesday 16 July 2014

Alichokisema Baba yake Nuh baada ya kusikia mwanae kajichora tatoo yenye jina la Shilole.


Nuh-Mziwanda


Wiki kadhaa zimepita tangu Nuh Mziwanda aamue kujichora tatoo yenye jina la mpenzi wake Shilole leo baba yake mzazi kazungumza juu ya hatua hii aliyoamua kuifanya mtoto wake Nuh kwa upande wake.
Baba yake Nuh amezungumza hilo baada ya kuulizwa na Soudy Brown  kuhusiana na stori zilizosambaa juu ya kusemekana kumkataa Shilole,msikilize Baba yake Nuh akizungumza na Soudy Brown.
tatoo

0 comments:

Post a Comment