Pages

Subscribe:

Thursday 28 August 2014

WEMA AMTOSA DIAMOND SASA ATOKA NA PREZZO!!


Hivi karbuni wema na dangote wamekua hawaelewani katika mapenzi yao, na sasa kuna uvumi mwingi mitaani hizi ni baadhi ya picha za wema akiwa na prezzoo wa kenya zilizowashtua wengi kwani prezzo anajulikana kwa tabia ya kupenda mastaa hivyo watu kubaki na maswali kulikoni picha hizi

0 comments:

Post a Comment