Pages

Subscribe:

Thursday 28 August 2014

VIDEO YA NICK MINAJI AKIONYESHA UWEZO WA KUKATA MAUNO!!

Tuzo za Mtv video awards zilifanyika jana uk marekani na kuhuzuriwa na wasanii kibao,katika moa ya burudani zilizowafuruisha mashabiki wengi
ni ile Burudani kutoka kwa Mwanadad Nick Minaj na wimbo wake mpya wa Anaconda, Nick Minaj aliaacha watu hoi pale alipoanza kuyarudi huku akitikisha booty lake na fans wengi kushangilia, 
Tazmaa video hapa kuona alivyowapagawisha wengi 

0 comments:

Post a Comment