Pages

Subscribe:

Thursday 28 August 2014

UFUSIKA UNAVYOZIDI KUCHUKUA NAFASI KWA WABONGO!! CHEKI HIZI PICHA NA MAELEZO KAMILI!!



Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa, pati hiyo ya aina yake ilifanyika katika nyumba yake ya kifahari iliyopo Mbezi Beach, ambapo wasichana walialikwa na kunywa pombe baadaye wakapigwa picha za utupu.
PICHA CHAFU
Gazeti hili lilifanikiwa kupata picha zilizopigwa katika pati hiyo na nyingi zinaonesha watu wakifanya mapenzi ama mwanaume na mwanamke au mwanamke na mwanamke.
Baadhi ya picha zilizopigwa katika jumba hilo zinaonesha maadili yasiyofaa kuandikwa gazetini, huku baadhi ya wasichana wakiwa na nguo za ndani tu au kufunga mataulo viunoni, matiti yakiwa nje.
Picha hizo ambazo sasa zimezagaa jijini, zinaonesha wavulana wakiwa na wasichana ndani ya bwawa la kuogelea huku wengine wakichezewa kimahaba.


HAKUNA MKE, MTOTO NDANIUchunguzi zaidi umebaini kuwa, wakati pati hiyo inafanyika katika jumba hilo hakukuwa na mke wala mtoto, hivyo baadhi ya washiriki kuiita pati ya X.MGAWO WA FEDHAImedaiwa kuwa ndani ya jumba hilo sherehe kama hizo zimekuwa zikifanyika mara kwa mara na waalikwa huambiwa kuwa hiyo ni siku ya kula bata.Aidha, imeelezwa kuwa washiriki wote hasa wanawake kila mmoja hupewa shilingi 100,000 baada ya sherehe na haikujulikana mara moja picha hizo chafu hupelekwa wapi baada ya shughuli.DANSI WAKIWA WATUPUMwandishi wetu aliyefuatilia taarifa hizi alifanikiwa kunasa rundo la picha ambazo ni mbaya zinazowaonesha baadhi ya waalikwa wakisakata dansi wakiwa watupu.Aidha, mtu mmoja anayetajwa kuwa ni mshereheshaji (MC), anaonekana akisakata dansi na msichana aliyekuwa amevaa nusu uchi.
POLISI WAWATIA NDANI
Taarifa zilizopatikana ndani ya jeshi la polisi zinadai kuwa, askari wa Kituo cha Kawe jijini Dar es Salaam wamefuatilia nyendo zao na tayari wamewanasa baadhi ya wahusika.
Habari zaidi zinaeleza kuwa, watu wanne tayari wanashikiliwa akiwemo

Peter, Salma Saidi na wengine waliojulikana kwa jina mojamoja, Neli na Sammy.Baada ya wasichana hao kudakwa na polisi walikiri kuvua nguo na kubaki kama walivyozaliwa kisha kupigwa picha lakini wakadai hawajui zinakopelekwa.
Aidha, ilidaiwa polisi walimkamata Peter na kumhoji na haijulikani kama aliachiwa kwa dhamana au la.
Naye Neli alipohojiwa alidai kuwa, walipofika katika jumba hilo walipewa pombe kali huku wakiahidiwa kupiga picha hizo kwa malipo ya shilingi 100,000 kila mmoja.


MAJIRANI

Baadhi ya majirani waliozungumza na Uwazi kwa sharti la kutoandikwa majina yao gazetini walikiri kufahamu kuwa katika jumba hilo huwa kunakuwa na pati za kufuru.
“Vijana hapa wanasema ni sherehe zinazohusisha wasichana maalum tu lakini wengine wanasema mwanao akialikwa humo, amekwisha, hawatufafanulii,” alisema mama mmoja katika mtaa huo.
Gazeti hili pia lilifanikiwa kumhoji mmoja wa washiriki aitwaye Salma na alikiri kupigwa picha hizo kwa lengo la kulipwa fedha.
“Nilipigwa picha lakini cha ajabu mpaka leo sijalipwa fedha yoyote,” alisema Salma.



MWENYE NYUMBA PETER
Kwa upande wake mtu anayedaiwa kuwa ndiye mwenye nyumba, Peter alipohojiwa na mwandishi wetu alikiri kutambua picha hizo lakini alishangazwa na jinsi zilivyosambaa na kufika chumba cha habari na polisi huku akimtaja rafiki yake aitwaye Sammy kwamba ndiye mhusika mkuu wa upigaji picha hizo.
“Ni kweli nimekuwa nikiandaa pati mara kwa mara. Sammy ndiye aliyepiga picha hizo na alikuja na wasichana watatu,” alifunguka Peter.

0 comments:

Post a Comment