
imekuwa
tabia inayokua kwa kasi kwa madada wa bongo flava hasa wanaofanya mziki
wenye maadhi ya mduara kucheza nusu utupu stejini na kuwaita mashabiki
wa kiume na kuwachezeahuku wakiwakatikia mithiri ya mke na mume chumbani, sasa watu wanakuwa hawaelewi je kwamba ukifanya hivo ndio unajikusanyia mashabiki au unajiaibisha kiaina bila wewe kujijua? kwa ushahidi unaweza kutazama hizi picha then tupe maoni hapo chini



0 comments:
Post a Comment